JINSI YA KUOMBA MAOMBI YALETAYO MAJIBU
Price:
8,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 04, 2021
Product Views:
6,609
Sample
Kama Umekuwa Unaomba Pasipo Kuyaona Majibu Yako, Usiogope! Sasa Unacho Kitabu Ambacho Kitakufundisha Hatua Za Kuomba Mpaka Uyapate Majibu Uliyoyatarajia
- KITABU HIKI KIITWACHO JINSI YA KUOMBA MAOMBI YALETAYO MAJIBU KITAKUPA, TAFSIRI KADHAA ZA NENO MAOMBI, KITAKUFUNDISHA JINSI YA KUOMBA KWA MUDA MREFU PASIPO KUISHIWA MANENO, KITAKUFUNDISHA NJIA MBALIMBALI ANAZOTUMIA MUNGU KUTUJIBU MAOMBI YETU - NI VIZURI UELEWE KWAMBA , KUNA WAKATI TUNAWEZA KUOMBA NA MUNGU AKATUJIBU NA BADO TUSIJUE KAMA TAYARI TUMEJIBIWA, PIA KITAKUFUNDISHA VICHOCHEO VYA KIROHO AMBAVYO UNAWEZA KUMCHOCHEA MUNGU ILI AWEZE KUYAJIBU MAOMBI KIRAHISI YAKO NA PIA KITAKUFUNDISHA JINSI YA KUVISHINDA VIKWAZO MBALIMBALI VINAVYOZUIA MAOMBI YAKO KUJIBIWA!