Best Seller
JINSI YA KUMSHIRIKISHA MUNGU KATIKA BIASHARA YAKO
Price:
3,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 14, 2024
Product Views:
270
Sample
Kitabu hiki kina lengo la kumfundisha mfanyabiashara au anaetaka kuanza biashara namna anavyoweza kumshirikisha Mungu Ili aweze kupata Faida.
Kitabu hiki kimegawanyika Katika vipengele mbalimbali vinavyohusu biashara.Vipengele hivi ni muhimu kwa Kila anaefanya au anataka kufanya biashara kuvifahamu.Katika Kila kipengele mwandishi ameeleza namna inavyoweza kumshirikisha Mungu Ili uweze Kufanikiwa.