Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Yenye Mafanikio Makubwa - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

JINSI YA KUANZISHA BIASHARA YENYE MAFANIKIO MAKUBWA

0
1
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 30, 2024
Product Views:
754
In category:
Sample

Moja kati ya Kitabu Bora Cha Biashara na Chenye Mafunzo Mengi Zaidi, Kwa Wakati Mmoja, Yaani Ni Sawa na Kununua Vitabu Tofauti Tofauti Zaidi Ya 5 na Kuviweka Pamoja

Kama ndoto yako ni kumiliki biashara yenye mafanikio makubwa, basi fuatana nami kujua vitu Utakavyojifunza kupitia hiki kitabu Chenye Kurasa 250 Zenye Madini.... Soma Mpaka Mwisho….

.

1.Hizi Ndio Sifa Kuu za jina la Biashara, na Sio Unavyojua wewe - Uk 61

.

2.ONYO: Usijaribu hata Kidogo, Wala Kufikiria tu , Kuanzisha Biashara yeyote Bila Kusoma Huu Uk wa 8 Utaumia vibaya mno.

.

3.Hizi Ndio Mbinu 10 Za Siri Zilizothibitishwa za Kujua biashara inayolipa Zaidi - Uk 17

.

4. Usije Ukajiroga Kuanzisha Biashara Kwenye Eneo Lolote Bila Kusoma Huu Uk wa 38

.

5.Hizi Ndio Biashara 20 Zenye Mzunguko Mkubwa na Mchangonuo wake - Uk 71

.

6.Je Kweli Kabisa Unataka Kupata Mtaji wa Biashara kirahisi? Kama jibu ni Ndiyo Basi Soma Uk 28

.

7.Fuata Hizi hatua Usajili Biashara yako Mwenyewe Bila Janja Janja Uk 67.

.

8.Ukweli Usioujua Kuhusu Hizi Fursa 20 Za Biashara Ambazo Unaweza Kuzifanya Hata Leo - Uk 163

.

9.Fursa na Biashara 20 Za Kufanya Kwa Wanachuo - Uk 184

.

10.Kama Umesoma au Una Ujuzi au taaluma fulani, Iba Hizi Fursa 20 Za Biashara Utanishukuru - Uk 171

.

11.Kama Umeajiriwa na Unataka Kuongeza Kipato Cha Ziada , Iba Hizi Fursa 15 Za Biashara Ambazo Wengine Hawazitumii - Uk 202

.

12.Je Wewe ni Mama wa Nyumbni tu? Na Unataka Kufanya Biashara! Basi Chukua Hizi Fursa 15 Utanishukuru Sana - Uk 209

.

13.ONYO, ANGALIZO, TAHADHARI, Epuka Epuka Epuka tena Kaa Mbali na Hizi Tabia 12 Mita Milioni 10 Zitafukuza Wateja Kabisa - Uk 216

.

14. CHUNGA SANA: Haya Ndiyo Mambo 25 Yanayoongoza Kwa Kuua Biashara Zote Duniani - Uk 222


15.Hii ndio fomula ya siri ya Kugawa pesa ya mtaji wa biashara pindi unapotaka kuanza biashara yenye mafanikio makubwa - Uk 55


16.Na Mengine Mengi Zaidi Utajifunza…. Hakikisha Unapata Nakala Laini au Soft Copy ya Kitabu Hiki Cha Jinsi ya Kuanzisha Biashara Yenye Mafanikio Makubwa.

.

Thamani ya Soft Copy ya Kitabu ni Sh.25,800 tu, Lakini Leo Nitakupa Kama Zawadi ya Kipekee Kwako tu, Hautalipia Chochote, Wala Hiyo Sh.25,800…

.

Badala yake…

.

Utachangia Kiasi Kiduchu tu Cha Sh.4,500 tu 

KUMBUKA: Hii Zawadi ni Kwa Saa 24 tu, Baada ya Hapo Hakutakuwa tena na Zawadi Nyingine na Kitabu Kitarudi Kwenye Bei yake Halisi ya Sh.25,800.

.

Nifollow Kwenye Mitandao Yote ya Kijamii Kwa Jina la @sanga_business, Like Comment na Share ,Pia Nitumie Mrejesho Wako.

.

JINSI YA KUPATA KITABU HIKI

1. Bofya kitufe cha *BuyNow*

2. Jaza Jina lako lote (Majina Mawili)

3. Jaza Email Address Yako

4. Chagua mtandao utakao tumia kulipia 

5. Jaza number ya simu ya huo mtandao wako ulio chagua

6. Bofya kitufe cha *Complete Order* halafu subiri kidogo

7. Weka password yako ya malipo 

8. Bofya Okay


More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold