Best Seller
JINSI YA KUANZA KUWEKEZA KATIKA SOKO LA HISA
Price:
3,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 13, 2023
Product Views:
1,294
Sample
JINSI YA KUANZA KUWEKEZA KATIKA SOKO LA HISA DSE
Katika kitabu hiki chenye kurasa 176 ambacho kimelenga kutoa uelewa katika uwekezaji wa soko la hisa utajifunza yafuatayo
1) HISA NI NINI NA UNAPATAJE FAIDA UKITAKA KUWEKEZA KATIKA SOKO LA HISA
2) UNAANZAJE KUWEKEZA KATIKA SOKO LA HISA (Ni hatua zipi unazichukua ili kununua hisa yako ya kwanza)
3)SOKO LA HISA LINAFANYAJE KAZI (kwa ni i bei ya hisa inapanda na kushuka
4)JINSI YA KUSOMA RIPOTI ZA FEDHA ZA KAMPUNI
5) MAMBO UNAYOTAKIWA KUYAJUA KABLA NA BAADA YA KUWEKEZA KATIKA HISA
6) JINSI YA KUJENGA UTAJILI KUPITIA SOKO LA HISA
7) SAIKOLOJIA YA UWEKEZAJI
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza