
Jinsi Ake: Jinsia Ya Kike
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 02, 2021
Product Views:
2,841
Sample
Jinsi Ake
JINSIAKE Wakati mwingine maisha ni tunafanya kile tunachoamini kuwa chaguo sahihi,niukweli usiopingika machaguo mengine hugeuka kuwa uamuzi wetu mbaya zaidi,Daniel anakutanisha macho na Lucy ndani ya ukumbi wa Julius Nyerere International Convertion Center, ulimo kuwa unafanyika mkutano wa TRA na wadau wa sekta ya usafirishaji,alihisi macho ya Lucy yanataka kumwambia kitu na kwamba alijiona mwenye bahati,hakuchelewa kuipeleka akili yake kwamba madamu yule huenda anamhitaji,aliinua mkono wake juu kupitia utosini kuzielekea nywele zake za kipilipili hadi kisogoni,kisha akatabasamu kama ishara yaku mwambia Lucy nimekuelewa..........!