Jinamizi
Jinamizi
Katika hi dunia binaadamu hupitia mitihani mingi sana, katika mitihani hiyo ni jambo la kupita tu. Hayo ndio majaribu ya maisha, hapo unaangaliwa utapasi au utafeli. Muhimu ni kuwa jasiri na kuchukulia majaribu hayo kama ni sehemu ya masomo yako katika hi dunia. Kuwa mvumilivu, jasiri na uzidi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema nyingi alizokupa. Mitihani ni sehemu tu ya maisha yetu, kinachotakiwa ni kuzidi kumuomba Mwenyezi Mungu atupe Subira. Kumbuka neema alizokupa Mwenyezi Mungu ya maisha, kisha ya akili pamoja na macho yako yenye uwezo wa kuona. Neema hazihesabiki alizotupatia Mwenyezi Mungu, hata ukijaribu vipi mana ni nyingi mno. Major Sandra ni mfanyakazi wa polisi, ameipenda kazi hiyo sana kwa kuwa baba yake alikuwa poilisi muadilifu. Akitetea haki za wat kwa uaminifu mkubwa. Sifa hii ya baba yake ndio kigezo kikubwa cha Sandra naye kuwa polisi.
Endelea...........
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza