JiMAGUFULISHE
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 26, 2020
Product Views:
3,298
Sample
Jimagufulishe; uwe chochote popote
Kazi hii inamotisha, inasisimua, ianatia moyo na kufundisha namna ya kuwa chochote unachotaka kuwa ndani ya muda muafaka. Kitabu kimesheheni sifa za waliofanikiwa, yaani kuthubutu, kujiendeleza, kutumia maarifa na taarifa.
Kitabu hiki hakina mahudhui yoyote ya kisiasa. Kimesheheni mbinu za mafanikio zifaazo kuijifunza ili kufikia malengo uliyojiwekea.