Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Jifunze Usomaji Wa Vitabu Kwa Njia Rahisi - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

Jifunze Usomaji Wa Vitabu Kwa Njia Rahisi

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
15,000 Tsh. 10,000 Tsh.
Discount Code : J24577k
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 08, 2020
Product Views:
6,511
In category:
Sample

Namna unavyoweza KUGUNDUA SIRI ZILIZOMO VITABUNI na kuweza KUFANIKIWA KIMAISHA

WATU WENGI HUNUNUA VITABU KWA HAMU KUBWA NA KISHA KUVILUNDIKA NDANI BILA KUVISOMA - kwa Sababu hawajui ni kwa namna gani Wanaweza kuondokana na JANGA LA UVIVU LINALOWATESA, na kisha kuvisoma bila Shuruti.


Kwa kuyaona yote hayo! Ndani ya PDF hii kuna mambo ya msingi yatakayokusaidia kuwa Bingwa katika Usomaji wa Vitabu. Na siyo tu kusoma, Bali na namna ya kuwa Mtendaji wa wale uyasomayo.


Ndani ya hii PDF Utajua...


1. NAMNA YA KUCHAGUA VITABU VIZURI NA SAHIHI KWAKO.


2. NAMNA YA KUPANGILIA RATIBA YAKO YA USOMAJI WA VITABU KWA URAHISI ZAIDI.


3. NAMNA YA KUONDOKANA NA JANGA LA UVIVU KATIKA USOMAJI WA VITABU.


4. NAMNA UNAVYOWEZA KUGUNDUA SIRI ZILIZOMO VITABUNI NA KUWEZA KUFANIKIWA KIMAISHA.

Watu wengi husema, \\\\\\\"Ndani ya Vitabu kuna \\\\\\\'Business Ideas\\\\\\\' (Mawazo ya kibiashara) na Utajiri wa kutosha\\\\\\\" lakini hawakuambii ni kwa namna gani utaweza kuviona kama Wao. Hivyo, PDF hii itakusaidia kufikia viwango hivyo na kuzidi.


5. MAWAZO YA WATU WALIYOFANIKIWA KUPITIA USOMAJI WA VITABU.

Watu hao ni wa hapa hapa Tanzania, siyo wa Ulaya wala Amerika. Watakupitisha katika njia zao na kukuonesha ni kwa namna gani waliweza kuchagua Vitabu, kuvisoma, kuibuka na \\\\\\\"projects\\\\\\\" kubwa kubwa, na kuweza kubadili maisha yao na Jamii inayowazunguka. . .


UNAKOSAJE HII PDF? Watakucheka Watu.

Kukosa hii PDF ya USOMAJI WA VITABU KWA NJIA RAHISI ni kujikosea na kujipoteza gizani kwa Gharama ya kiburi chako cha kudhani kwamba Unajua Yaliyomo ndani yake, na wakati Hujui kama unavyopaswa kujua. 


USIKUBALI KUENDELEA KUKOSEA NA WAKATI MAJIBU YAPO NDANI YA HII PDF.


USIKUBALI KUENDELEA KUNUNUA VITABU NA KUVILUNDIKA NDANI BILA KUVISOMA, NA WAKATI MAJIBU YA TATIZO LAKO YAMO NDANI YA HII PDF.

Gharama yake ni ndogo sana kuliko Gharama ya kuendelea kubaki jinsi ulivyo sahivi.


KUMBUKA: Hii PDF ina kurasa 127+ na IMEKWISHA KUWASAIDIA WATU WENGI SANA WALIOKUWA NA HALI MBAYA ZAIDI YAKO.


AHADI YETU KWAKO: Endapo utajipatia PDF hii ndani ya Saa 24 za Leo, basi utapata na Zawadi nyingine ya kitabu cha Bure kabisa, kitakachoendelea kukunoa zaidi. (Kitabu chenye Thamani ya shilingi 5000+), pamoja na USHAURI wa BURE ndani ya Wiki Moja baada ya kujisomea hiyo pdf - Ili kuendela kukusaidia katika maeneo yote ambayo hujaelewa.


BOFYA KITUFE CHA BUY NOW HAPO JUU UWEZE KUJIPATIA PDF YAKO SAHIVI.

More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

GetValue Recommendations
Old is Gold