Jifunze Uandishi Wa Vitabu Kwa Njia Rahisi: Kozi Nzima
Kitabu hiki Kimebeba Kozi Nzima Ya Jinsi Unavyoweza kuandika vitabu kuanzia mwanzo mpaka mwisho hata kama haujawahi kuandika kitabu chochote. Na pia kinakuonesha hatua kwa Jinsi utakavyouza vitabu vyako baada ya kuvitoa ili usiteseke kama waandishi wengine waliokutangulia.
KUPITIA HIKI KITABU UTAJUA...
- Uandike nini ndani ya kitabu chako
- Uandike wakati gani na kwa staili gani
- Jinsi ya kupata Mawazo (bora) endelevu ya kuandika kwenye kitabu chako ili usiishie kutoa kitabu kimoja (pekee), bali uendelee kutoa vitabu vingine vingi
- Jinsi ya kupangilia Wazo lako na Kitabu chako kuanzia mwanzo mpaka mwisho kwa Namna itakayomvutia Msomaji wako
- Jinsi utakavyoweza Kuuza kitabu chako mtandaoni na nje ya mtandao tofauti na Waandishi wengine waliokutangulia
- Njia utakazotumia kuuzia kitabu chako, pamoja na mambo unayopaswa kuyaepuka ili uepukane na Hasara nilizozipata (Lackson Tungaraza) mwanzoni mwa safari yangu ya uandishi wa vitabu
Na mengine mengi.
Yaani, unapata Full Package (kozi nzima ya uandishi wa vitabu)
JE UPO TAYARI KUWA NA HIKI KITABU (eBook) kwenye maktaba yako ya vitabu kwa OFA YA LEO ya Tsh.30,000 badala ya Tsh.50,000 (kwa punguzo la 60%)
BOFYA sasa hivi button ya BUY NOW hapo juu kujipatia hiki kitabu ndani ya sekunde 2 tu baada ya kukilipia kwa njia ya simu au benki.
HII NI OFA YA LEO TU. IKIPITA, GHARAMA INAREJEA KWENYE elfu 50.