Jifunze Kutengeneza Bidhaa 100 Karne Ya 21
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 11, 2020
Product Views:
2,203
Sample
Kuna wakati unaweza pitia maisha magumu kwa kukosa ajira ama kwa kutokuwa na kipato toshelevu!! Njia bora ni kujifunza na kufanyia kazi kilichoandikwa ndani ya kitabu hiki pasina shaka utaenda kubadili maisha yako ndani ya muda mchache lets enjoy.....
Jifunze kuzalisha bidhaa na kuanzisha kiwanda chako nyumbani kwako pasina kuwa na shaka kutokana na mbinu njia na utafiti wa kina nilioufanya utafanikiwa kupata kitu kipya kama vile
Kuzalisha sabuni za unga maji na za kipande
Kutengeneza tomato, chaki, batiki na bidhaa nyingine nyingi
kwako msomaji wangu ahsante kwa mchango wako.