Jifunze Kuhusu Kilimo Na Ufugaji
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 15, 2020
Product Views:
1,706
Sample
Katika karne ya 21 changamoto kubwa ni masoko ya uhakika na mbinu za kumfanya mkulima ajiongezee kipatao yakinifu. Ndani ya kitabu utakutana na mambo kadhaa kuhusu kilimo na ufugaji utajifunza masoko na mbinu kadhaa kuhusu kilimo kwa ujumla
Kwanini mkulima anapaswa kuwa mbunifu?.
Je wajua jinsi ya kutengeneza na kufuga kuku kwa njia ya kisasa?
Masoko ya mazao yako yanawezaje kuuzwa kwa njia ya kisasa?
Pata nakala yako kujifunza zaidi.