Best Seller
JIFUNZE KINANDA
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 09, 2021
Product Views:
4,393
Sample
Watch Sample
"Ili kukuza Kipaji, ni muhimu kwenda taratibu na kubaki katika lengo, kujiamini na kuendelea kujifunza"
Kujifunza Kupiga Kinanda Ni Safari Ndefu Na Pana Kama Ilivyo Katika Kujifunza Muziki Wenyewe. Mara Nyingi Wengi Hutamani Au Hupenda Kujifunza Kinanda Lakini Wanashindwa Kwasababu Ya Kukosa Msaada. Hivyo, Nimepata Msukumo Wa Kuandaa MAKALA Hii Itakayoweza Kutupatia Mwanga Katika Kujifunza Kinanda Kwa Hatua Hii Ya Kwanza.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza