JICHO LA USALITI
Vijana Watatu ambao ni Ian,Edwin na Jane wanaamua kuanzisha Kanisa ambalo ndani yake kumejaa utapeli na hila nyingi. Nunua Nakala yako ili uweze kusoma kisa hiki cha ajabu na chenye kusisimua pamoja na kukupa Elimu.
SURA YA 1.
Ilikuwa ni siku ya jumapili ya pata saa 2:45 asubuhi, anga la bluu, ndege wa kirukaruka angani na kutua katika matawi ya miti na maua kana kwamba wanafurahia uzuri wa mimea na rangi tofauti tofauti za maua yanayo nukia harufu tamu. Njiani wanaonekana wapita njia wakiwa nadhifu kwa mavazi waliyo ya vaa na mikononi wameshikilia biblia zinazo toa tafsiri sahihi kwamba walikuwa wakienda katika....................
NUNUA KITABU KUENDELEA KUSOMA
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza