JENGA WASIFU-BUILD YOUR CV
Rejea yako ina kuwakilisha vipi, wasifu wako\r\nunaongea nini. Kuna mambo pia unaweza\r\nkuwa umefanya makubwa ila yakawa\r\nhayakusaidii, yawezekana walioipata CV yako\r\nsiyo watu sahihi kwa viwango ambavyo\r\nMungu amekufikisha. Au uwasilishaji wa CV\r\nyako ndiyo m’bovu. Natamani ufahamu\r\numuhimu wa CV ila pia ujue nani na wakati\r\ngani wakumpa mtu CV yako na jinsi gani\r\nuiandike. Wapo watu wengi sana wamefanya\r\nmambo madogo ila kila siku wanaonekana\r\nwakubwa kwasababu ya njia bora yakuwasilisha CV zao. Kitabu hiki kitakusaidia kuelewa mambo ya msingi yahusuyo wasifu wako kwenye kazi au biashara.
Kuna vitu viwili ambavyo hutembea kwa pamoja, na watu wengi huwa hawaoni kama ni vitu vya muhimu ilahuwa vina tembea pamoja.
Kipaji na Fursa, vitu hivi hutembea pamoja ila kimoja huwa hakionekani mara kwa mara (fursa), ila kila inapoonekana uwezekano wa kuishi na mtu ni lazima mtu huyo awe na maandalizi au na CV inayoruhusu kuikabili au kuipokea hiyo fursa.
Mungu alianza kuumba fursa kabla ya kipaji ila ukija kwenye maisha ya kawaida kipaji huanza kuonekana kwenye maisha yam utu kabla ya fursa, na wakati mwingine Mungu amechelewesha fursa kwasababu anajua maandalizi tuliyo nayo hayatoshelezi kukabiliana na fursa husika.
Kitabu hiki kina kusaidia kujua uwezo wako unavyoweza kukunufaisha kupitia WASIFU WAKO
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza