Jenga Mahusiano Yako Na Mungu
Price:
2,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 27, 2021
Product Views:
2,364
Sample
Dunia kuwepo ni mpango wa Mungu, maisha ya mwanadamu duniani pia ni mpango wa Mungu, kwa hiyo ni muhimu kujua kwa nini uko duniani, Na huwezi kujua hilo kama mahusiano yako na Mungu hayako vizuri.
Mmoja ya zawadi kubwa aliyotupa Mungu ni kuishi kwa kuchagua na hilo lisikutoe katika uwepo wake. Hakikisha mahusiani yako na Mungu yanabaki vile vile.