JE WEWE NI MHITIMU? FANYA HAYA ILI UFANIKIWE
Kijitabu hiki kitakua msaada si tu kwa ajili ya kijana aliyesoma na kuhitimu masomo bali pia ni kwa ajili ya vijana wote wa kiafrika hasa hapa nchini Tanzania kwani kijitabu hiki ni kwa ajili ya vijana waliosoma na wasio wasomi kwani changamoto za maisha hazina msomi au asiye msomi na maisha hayana kanuni kwa mtu au kundi Fulani la watu.
Kijitabu hiki kitakua msaada si tu kwa ajili ya kijana aliyesoma na
kuhitimu masomo bali pia ni kwa ajili ya vijana wote wa kiafrika hasa
hapa nchini Tanzania kwani kijitabu hiki ni kwa ajili ya vijana waliosoma
na wasio wasomi kwani changamoto za maisha hazina msomi au asiye
msomi na maisha hayana kanuni kwa mtu au kundi Fulani la watu.Kwa
mantiki hiyo kijitabu hiki kinaangazia changamoto anazokutana nazo
kijana bila kusahau fursa zilizopo karne hii ya 21.Kijitabu hiki
hakijoshelezi kwa taarifa muhimu anazohitaji kijana wa leo hata hivyo
ndani yake kuna mwanga lau mdogo kwa msomaji.
Edson mkonge
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza