JANGWANI:Mahali Pa Maandalizi Ya Huduma Yenye Nguvu
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 09, 2024
Product Views:
438
Sample
Darasa la MUNGU, linamfanya mtu kuona hawezi kufanya kitu chochote wala kuvuka mahali popote. Tena darasa hili linamfanya mtu kupita na kutafuta msaada pasipo kuonekana. Hii ina maana, darasa hili linamfanya mtu kujifunza kunyenyekea na kujinyenyekesha chini kabisa mbele za MUNGU, na kuona yeye si kitu kama MUNGU hayupo upande wake, na kuhitaj kwa kutegemea msaada wa MUNGU pekee.
Mema ya MUNGU yanampata mtu baada ya kunyenyekeshwa na Yeye ( MUNGU ) katika darasa lake.