INAWEZEKANA TU UKICHUKUA HATUA
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 19, 2024
Product Views:
493
Sample
INAWEZEKANA TU UKICHUKUA HATUA
Sehemu kubwa ya maisha tunayo ishi leo ni maamuzi tuliyoyafanya miaka kadhaa iliyopita. Maamuzi tunayoyafanya yanachukua sehemu kubwa sana ya aina ya maisha tuliyochagua kuishi. Kuna mahali mtu hawezi kufikia kimaisha asipochukua maamuzi magumu ya kumpeleka mahali anapohitaji kufika.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza