Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Inawezekana1 - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

INAWEZEKANA1

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 21, 2021
Product Views:
1,834
In category:
Sample

Kitabu hiki ni mkusanyiko wa makala arobaini na nane zenye dhamira ya dhati ya kufundisha, kuonya, kukumbusha, kuhamasisha, kutia moyo, kushauri na kuburudisha. Lengo kuu la makala hizi ni kuambukiza mtazamo chanya kwa jamii (wasomaji) utakaopelekea hatua mbele zaidi katika mafanikio ya kimaisha katika maeneo mbalimbali ambayo wamejikita.\r\nMakala hizi zimeandikwa kama matokeo ya mafunzo mbalimbali ambayo mwandishi amekuwa akiyapata kutoka kwenye mazingira halisi kwa kuona, kuhisi na mengine kama sehemu ya ushuhuda wa yale ambayo yametokea katika maisha yake akiwa katika harakati za kupambana kutafuta uhalisia wa ndoto zake. Lengo kuu la kuzingatia mazingira halisi sanasana yale ya kitanzania ni kuwawezesha wasomaji (jamii) wa namna mbalimbali kuelewa kwa urahisi zaidi mambo ambayo kama watachukua hatua kuyafanyia kazi yanaweza kuwapa hatua zaidi katika mapambano ya kufikia ndoto zao au kutimiza mipango yao maishani.

Kitabu hiki ni mkusanyiko wa makala arobaini na nane zenye dhamira ya dhati ya kufundisha, kuonya, kukumbusha, kuhamasisha, kutia moyo, kushauri na kuburudisha. Lengo kuu la makala hizi ni kuambukiza mtazamo chanya kwa jamii (wasomaji) utakaopelekea hatua mbele zaidi katika mafanikio ya kimaisha katika maeneo mbalimbali ambayo wamejikita.

Makala hizi zimeandikwa kama matokeo ya mafunzo mbalimbali ambayo mwandishi amekuwa akiyapata kutoka kwenye mazingira halisi kwa kuona, kuhisi na mengine kama sehemu ya ushuhuda wa yale ambayo yametokea katika maisha yake akiwa katika harakati za kupambana kutafuta uhalisia wa ndoto zake. Lengo kuu la kuzingatia mazingira halisi sanasana yale ya kitanzania ni kuwawezesha wasomaji (jamii) wa namna mbalimbali kuelewa kwa urahisi zaidi mambo ambayo kama watachukua hatua kuyafanyia kazi yanaweza kuwapa hatua zaidi katika mapambano ya kufikia ndoto zao au kutimiza mipango yao maishani.

Kitabu hiki kinaweza kusomwa na watu wa rika zote wanaojua kusoma na kuandika na ikiwa msomaji atafaulu kuweka katika matendo ushauri na mafunzo atakayoyapata humu anaweza kuongeza mwendo na nafasi zaidi ya kuyaishi maisha ambayo Mungu

More Products On Discount
5,000 Tsh. 1,000 Tsh.

Sold by: RAMV MRUMA

25,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Msafiri Lwihula

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

GetValue Recommendations
Old is Gold