Ijue Njaa Ya Wanandoa
Ijue Njaa Ya Wanandoa, Je unavumilia maisha ya ndoa au unafurahia? Kwanini Unavumilia Maisha ya ndoa badala ya kufurahia? Hiki ni kitabu kinachowalenga Wanandoa na wale ambao wako katika uchumba wanatarajia kufungua ndoa. Ijue Njaa Ya Wanandoa ni kitabu kitachokusaidia kujua hatua tatu muhimu mtu unazopaswa kuzipitia kabla ya ndoa. Kwenye ndoa nyingi kuna njaa, wewe kama mume au mke, au unatarajia kuingia kwenye maisha ya ndoa je unaijua njaa ya Wanandoa? Hakika kitabu hiki kitakusaidia kujua njaa ya mwenza wako na ukishajua njaa yake kazi yako inakuwa ni kumshibisha tu njaa yake. Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwanini watu wanachepuka? Ni kwa sababu kuna kitu ambacho anakosa, yaani kifupi mke au mume akishindwa kumshibisha mwenza wake njaa yake lazima ataenda kutafuta chakula nje ili ashibishe njaa yake. Kitabu hiki, kimegusa kila eneo la ndoa, Hii ni baadhi ya shuhuda ya msomaji aliyesoma kitabu hiki. ‘’ kama upo kwenye ndoa au unapanga kuingia kwenye ndoa basi unapaswa kusoma kitabu hiki. Kama upo makini na maisha yako na unataka kuwa na mahusiano bora na watu wengine hakikisha unasoma kitabu hiki. Na kwa kuwa tunajua hakuna binadamu ambaye ni kisiwa, wote tunahusika na wengine, hivyo basi kusoma kitabu hiki ni moja ya hitaji muhimu la kuwa na maisha bora" Mwandishi Kocha Dr. Makirita Amani, aliyeandika Dibaji ya kitabu hiki. Jipatie nakala yako sasa hivi ili ukanogeshe ndoa yako na mahusiano yako kiujumla. Rafiki na Mwalimu wako, Mwl. Deogratius Kessy 0717101505//0767101504 Asante sana
Ijue Njaa Ya Wanandoa,
Je unavumilia maisha ya ndoa au unafurahia?
Kwanini Unavumilia Maisha ya ndoa badala ya kufurahia?
Hiki ni kitabu kinachowalenga Wanandoa na wale ambao wako katika uchumba wanatarajia kufungua ndoa.
Ijue Njaa Ya Wanandoa ni kitabu kitachokusaidia kujua hatua tatu muhimu mtu unazopaswa kuzipitia kabla ya ndoa.
Kwenye ndoa nyingi kuna njaa, wewe kama mume au mke, au unatarajia kuingia kwenye maisha ya ndoa je unaijua njaa ya Wanandoa? Hakika kitabu hiki kitakusaidia kujua njaa ya mwenza wako na ukishajua njaa yake kazi yako inakuwa ni kumshibisha tu njaa yake.
Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwanini watu wanachepuka? Ni kwa sababu kuna kitu ambacho anakosa, yaani kifupi mke au mume akishindwa kumshibisha mwenza wake njaa yake lazima ataenda kutafuta chakula nje ili ashibishe njaa yake.
Kitabu hiki, kimegusa kila eneo la ndoa,
Hii ni baadhi ya shuhuda ya msomaji aliyesoma kitabu hiki.
‘’ kama upo kwenye ndoa au unapanga kuingia kwenye ndoa basi unapaswa kusoma kitabu hiki. Kama upo makini na maisha yako na unataka kuwa na mahusiano bora na watu wengine hakikisha unasoma kitabu hiki. Na kwa kuwa tunajua hakuna binadamu ambaye ni kisiwa, wote tunahusika na wengine, hivyo basi kusoma kitabu hiki ni moja ya hitaji muhimu la kuwa na maisha bora" Mwandishi Kocha Dr. Makirita Amani, aliyeandika Dibaji ya kitabu hiki.
Jipatie nakala yako sasa hivi ili ukanogeshe ndoa yako na mahusiano yako kiujumla.
Rafiki na Mwalimu wako,
Mwl. Deogratius Kessy
0717101505//0767101504
Asante sana
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza