Ijue Nafasi Ya Mtumishi Wa Nyumba Yako
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 17, 2020
Product Views:
1,754
Sample
Tambua umuhimu wake katika kukufanikisha
Wengi huwaita kama 'House girls' au 'House boys' kada ya watumishi ambao kwa sasa wapo katika kila nyumba. Wengi hawajishughulishi katika kuitambua nafasi yao na umuhimu katika kuwafanikisha.
Mwandishi ameeleza kwa undani juu ya nafasi hii kwa kuangalia historia yake, katika maandiko, historia yake kwa Tanzania na mifumo ya kisheria inayolinda nafasi hii.
Pata maarifa haya muhimu na kuboresha mfumo wa familia yako