IJUE ELIMU YA FEDHA
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 06, 2024
Product Views:
621
Sample
Kupitia kitabu hiki utajifunza kuhusu dhana ya fedha, fedha imejificha wapi, namna ya kuweke akiba, bima, bajeti,jinsi ya kuondokana na madeni, familia tano zilizojenga uchumi wa Marekani pamoja na nchi ya kutatua changamoto za uwekezaji.
Ndani ya kitabu hiki utajifunza kuhusu dhana ya fedha, kuweka bajeti, kuweka akiba, fedha imejificha wapi, usimamizi wa fedha, maeneo ya kuwekeza fedha, changamoto za kifedha, bima na uhuru wa kifedha. pia ndani ya kitabu hiki utapata kufahamu kuhusu familia tano zilizojenga uchumi na utajiri wa Marekani.