![Biashara & Ujasilimia Mali](https://www.getvalue.co/media/products/huu_mwaka_nimepewa_na_mungu_baba_yangu.jpg)
HUU MWAKA NIMEPEWA NA MUNGU BABA YANGU
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 08, 2025
Product Views:
41
Sample
Hakika kitabu hiki kitakusongeza karibu na Mungu kupitia kuutafuta USO wake Mungu kila siku kupitia Hekima hizi 25 za maombi unayotakiwa kumuomba Mungu kila siku ya maisha yako.
Najua unatamani mwaka huu Mungu akutendee mambo makubwa kwa utukufu wake karibu katika Maombi haya ambayo yatakuweka karibu na USO wa Mungu