HISIA ZA UCHUNGU
Uchungu ni moja ya hisia ya kawaida na yenye nguvu ndani yetu ambayo hutokea wakati tunahisi kitu fulani kimechukuliwa kutoka kwetu na hatuna nguvu ya kukirejesha. Katika kujaribu kujikumbusha wenyewe na wengine kwa kutotendewa haki tulikopitia huwa tunabaki tumeshikilia maumivu tukiwa na matumaini ya kwamba kuna mtu atatuokoa na kuturejeshea tulichopoteza. Kwa bahati mbaya, uchungu unafanya tu hisia za kuonewa na kudhulumiwa haki yetu kukua. Haufanyi chochote katika kuponya majeraha yetu yaliyosababishwa na kuonewa au kudhulumiwa haki. Kwa kweli, uchungu unasababisha jeraha kuwa hatarini kugeuka na kuambukizwa na hasira.
YALIYOMO
Ukurasa
• Kutabaruku.....................................
•Shukurani..........................................
•Utangulizi................................
….…
1.
HISIA ZA UCHUNGU
2.
BIBLIA ISEMAVYO KUHUSU UCHUNGU
3.
SHINA LA UCHUNGU
4.
SABABU NA DALILI ZA UCHUNGU
5.
MADHARA YA UCHUNGU
6.
UFAHAMU KUHUSU UCHUNGU
7.
KUPONYWA NA KUWEKWA HURU NA UCHUNGU
8.
VITABU VYA REJEA
9.
KUHUSU MWANDISHI