HISIA ZA MFADHAIKO
Tunaishi katika nyakati ambazo watu wengi wana matatizo ya msongo na mfadhaiko kwa sababu ya changamoto mbalimbali za maisha. Mfadhaiko ni kero tunayokutana nayo katika aina mbalimbali za masumbufu. Ni hali ya kunyong’onyea kihisia inayofanya mhemko au hisia za binadamu kuwa chini kiasi cha kumfanya mtu asiweze kujihusisha na shughuli ambazo huwa anazifanya. Huu ni ugonjwa wa kihisia unaoathiri namna mtu anavyojisikia, anavyofikiri na tabia yake. Katika kitabu hiki utapa nafasi ya kujifunza mambo mbalimbali kuhusu hisia za mfadhaiko kama vile vyanzo na msongo wa mawazo na mfadhaiko na madhara yake. Jinsi unavyoweza kuzuia msongo na mfadhaiko na uponyaji wake. Yohana 14: 1 Yesu akawaambia,” Msifadhaike mioyoni mwenu, mnamwamini Mungu, niaminini na mimi pia.
YALIYOMO
Ukurasa
• Kutabaruku.....................................
•Shukurani..........................................
•Utangulizi................................ ….…
1.
Hisia
Za Msongo Na Mfadhaiko
2.
Ufahamu
Kuhusu Msongo Na Mfadhaiko
3.
Mambo
Yanayosababisha Msongo Na Mfadhaiko
4.
Jinsi
Ya Kuzuia Msongo Na Mfadhaiko
5.
Uponyaji
Wa Msongo Na Mfadhaiko
6.
Vitabu
Vya Rejea
7.
Kuhusu
Mwandishi