HISIA ZA KUTOKUSAMEHE
Msamaha ni amri ya Mungu, kwa mujibu wa Biblia. Tunatakiwa kuwasamehe wengine kwa haraka kama tunavyotarajia Mungu kutusamehe sisi. Tunatakiwa kusameheana sisi kwa sisi kama Kristo alivyotusamehe. Msamaha sio kitu tunachofanya kwa wengine, tunakifanya kwaajili yetu wenyewe kupona na kuendelea mbele. Moja ya sifa ya msingi ya mtu mpya ni kusamehe. Mtu mpya hapaswi kuishi na kutokusamehe. Kwa mujibu wa kanuni za Bibilia, mtu mpya ni lazima asiishi kwa kutofuatisha kile kinachofanyika ulimwenguni. Katika ulimwengu, watu ni vigumu kusamehe. Ni kawaida kwa mtu kutokusamehe, na kutafuta kulipa kisasi. Hata hivyo, tunapofanyika watu wapya, Mungu anatarajia tuweze kusamehe. Moja ya tofauti kubwa kati ya Mkristo na siye mwamini ni kwamba Mkristo ana uwezo wa kusamehe na kuamwachilia aliyemkosea.
YALIYOMO
Ukurasa
•
Kutabaruku.....................................
•Shukurani..........................................
•Utangulizi................................
….…
1.
MAANA
YA MSAMAHA
2.
UFAHAMU
KUHUSU MSAMAHA
3.
UGUMU
WA KUSAMEHE
4.
SABABU
ZA KUWASAMEHE WALIOTUKOSEA
5.
DALILI
ZA KUTOKUSAMEHE
6.
NADHARIA
ISIYO SAHIHI JUU YA MSAMAHA
7.
MATOKEO
NA MADHARA YA KUTOKUSAMEHE
8.
UPONYAJI
NA KUWEKWA HURU NA KUTOKUSAMEHE
9.
VITABU
VYA REJEA
10.
KUHUSU
MWANDISHI
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza