HISIA ZA KUJIONA DUNI NA KUKATALIWA
Kila mmoja hukabiliana uso kwa uso na kukataliwa. Ni sehemu ya maisha ya kila siku. Hatuwezi kukwepa kukataliwa kwa sababu hatuwezi kutawala namna watu wanavyo hisi kutuhusu. Wengine watatupenda tu, na wengine watatukana tu bila ya sababu yoyote. Hata hivyo, habari njema ni kwamba, tunaweza kutawala mwitikio wetu uwaje katika kukataliwa. Kukataliwa kunamfanya mtu afa kwa njaa na kiu ya kukosa upendo na kukubaliwa, hali ambayo kwa asili aliumbiwa kuipokea. Maumivu ya kihisia ya kukataliwa ni moja ya aina ya maumivu mabaya sana ambayo mtu anaweza kuyahisi.
YALIYOMO
Ukurasa
• Kutabaruku.....................................
•Shukurani..........................................
•Utangulizi................................ ….…
1. Hisia Za Kukataliwa Na Kujiona Duni
2. Mtazamo Wa Kibiblia Kuhusu Kukataliwa Na Kujiona Duni
3. Ufahamu
Kuhusu Kukatiliwa Na Kujiona Duni.
4. Sababu
Za Kutojithamini Na Kujiona Duni
5. Sababu
Za Kukataliwa
6. Dalili
Za Kukataliwa Na Kujiona Duni
7. Madhara
Ya Kukataliwa, Kujiona Duni Na Kutojithamini.
8. Uponyaji
Na Kuwekwa Huru Dhidi Ya Kukataliwa
9. Uponyaji
Wa Kujiona Duni Na Kutojithamini
1 Vitabu
vya Rejea
11 Kuhusu
Mwandishi