HISIA ZA HUZUNI
Katika maisha haya tunalazimika kupitiza vipindi na nyakati za kupoteza. Baada ya kupoteza jambo fulani ambalo tulikuwa tumeambatanishwa nalo kwa kina huwa tunapitia katika nyakati za huzuni, majonzi na maombolezo. Kupoteza ni sehemu ya maisha yetu mafupi na ni vema tujue jinsi ya kukabili hali hii inapotupiga. Wote tumekutana na kupoteza kwa namna mbalimbali, iwe ni kwa kufiwa na ndugu na jamaa wa karibu ama kwa mahusiano kufikia mwisho au kuvunjika. Kwa wengine inaweza kuwa ni kwa kupoteza kazi, kupoteza mali, vitu vya thamani n.k. wengine ni kupoteza viungo katika ajali na mengineyo mengi, Kupoteza huku, hutuacha katika huzuni na majonzi makali, hisia ambazo ni sehemu ya kawaida, katika machakato wa uponyaji wetu kwa yale tuliyoyapoteza. Watu wengi wanaelewa vibaya juu ya majonzi. Habari njema ni kwamba kuna maisha, kuna uhai tena hata baada ya kupoteza. Kupoteza haimaanishi ni mwisho wa kuishi. Wakati mwingine hatuwezi kujifunza kwa njia yoyote ile, hulazimu tupoteze kwanza ndipo tuweze kujifunza. Kupoteza huja na somo la thamani ambalo hatuwezi kujifunza kwenye shule yoyote.,Kuhuzunika na kuomboleza vizuri ni mchakato wa uponyaji wa kihisia.
YALIYOMO
KUTABARUKU ................................... v
SHUKURANI ....................................... vi
UTANGULIZI ..................................... vii
HISIA ZA HUZUNI. .............................. i
BIBLIA NA HUZUNI ........................... 1
CHANZO NA MATOKEO YA
HUZUNI. ............................................. 12
JINSI YA KUKABILIANA NA
HUZUNI. ............................................. 18
MCHAKATO WA HUZUNI. ............. 29
UFAHAMU KUHUSU HUZUNI NA
MAJONZI. ........................................... 39
JINSI YA KUPONYWA NA
KUISHINDA HUZUNI. ..................... 53
VITABU VYA REJEA. ...................... 70
KUHUSU MWANDISHI. ................... 72
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza