HISIA ZA HATIA
Hatia ni woga wa yale yaliyopita unaoambatana na maumivu ambayo yanajaa ndani ya mioyo yetu kwa sababu tumefanya kosa au tumeshindwa kufanya kitu fulani sahihi. Watu wengi wanaishi na kumbukumbu mbaya za dhambi fulani walizofanya miaka mingi iliyopita. Watu wanaishi katika hofu kwamba dhambi zao za zamani zitajulikana. Wanafanya kazi ya ziada kujaribu kumthibitishia Mungu kwamba wametubu kweli. Hatia inafunika na kutuwekea kizuizi kuiona neema ya upendo ya Mungu. Hatia inawaacha watu wapweke, wenye huzuni, na waliovunjika moyo. Athari za hatia ni kubwa sana, zimesababisha watu anaokabiliwa na matatizo mbalimbali kupitia katika kipindi cha kujisikia hatia kama sehemu ya matatizo yao.
YALIYOMO
Ukurasa
•
Kutabaruku.....................................
•Shukurani..........................................
•Utangulizi................................
….…
1.
Hisia Za Hatia…
2.
Hatia ya Dhambi
3.
Hatia ya Hukumu
4.
Hatia ya Kweli dhiki ya Hatia ya Uongo
5.
Sababu Na Vyanzo cha Hatia
6.
Mwitikio Usiofaa wa Hatia
7.
Matokeo ya Hatia
8.
Ufahamu kuhusu Hatia
9.
Jinsi ya Kupona kutoka kwenye Hatia
10.
Vitabu Vya Rejea
11.
Kuhusu Mwandishi