Hesabu Za Mafanikio
Hesabu Za Mafanikio
Hesabu ni somo ambalo watu wengi wanaliogopa. Pamoja na kuliogopa, somo hili ni muhimili wa mafanikio katika Nyanja nyingi. Kila kinachofanyika duniani kinatumia hesabu. Hesabu ni chombo pekee ambacho hutumiwa kutafuta mantiki katika nyanja nyingi kama teknolojia, uchumi, biashara, uhandisi, afya, michezo, kilimo na Nyanja nyininezo. Maisha yetu yamezungukwa na matumizi ya hesabu ngumu na rahisi. Mama ambaye anasema hesabu ni ngumu kwake lakini anaweza kupima mchele wa kutosha familia yake, kiasi cha mafuta ya kuweka kwenye chakula ama ongezeko la joto katika mwili wa mtoto. Katika kupika na kuoka chakula jikoni anatakiwa kuwa na hesabu sahihi ya viungo na joto husika.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza