HATUA SITA ZA KUWA MWANAFUNZI WA YESU KRISTO
Price:
2,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 16, 2024
Product Views:
758
Sample
Ukiwa kama mwalimu wa Neno la Mungu lazima ujue kuna watu wanaokoka sio kwamba wanampenda Yesu Kristo ila wanataka watatuliwe shida zao. Yamkini shida zao zikiisha na wakapata ushwari wanaweza kurudi tena dhambini. Hivyo nivema ukajipanga vizuri katika kulifundisha Neno la Mungu ili liwe na maana kwa mtu anaye okoka.
Kama binadamu anapitia hatua mbalimbali za ukuaji mpaka kuitwa mtu mzima aliyekomaa na mwenye uelewa wakupambanua mambo. Vivyo hivyo mtu anapo okoka anakuwa kama mtoto mchanga lazima apitie hatua zote za ukuaji kwani akiruka hatua moja wapo kunachangamoto itajitokeza hapo mbele.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza