Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Hatua 6 Za Kujiajiri - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

HATUA 6 ZA KUJIAJIRI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,999 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 22, 2020
Product Views:
5,882
In category:
Sample

Kama umeajiriwa lakini una shauku ya kuacha ajira na kuanza kufanya mambo yako, andiko hili ni zawadi kwako. Nimeweka hatua zilizotumia kuacha ajira na kufanikiwa kujiajiri.

Mwaka 2016 mwezi wa 8 niliweza kuacha ajira na kujiajiri. Kazi niliyokuwa nafanya ya ualimu kwa kipindi hicho cha miaka 8. Ni nadra sana mwalimu kuacha ajira kwa sababu kwa kipindi hicho, hakuna shule inayoajiri. Lakini pia ni kipindi ambacho waajiri wengi wanapitia kipindi kigumu. Mishahara inachelewa kutoka.

Nakuandikia haya sio kwamba nimesoma vitabu vingi kuhusu mada hii; hapana!! Nakuandikia haya majibu kwa sababu nilipitia huo mchakato wa kutoka kwenye ajira kwa hiara nikilenga kufanya kazi niliyotamani kwa miaka mingi; kazi ya kuelimisha jamii na kuandika vitabu. Ninapoandika maneno haya, nina miaka mitatu tangu niachane na utaratibu wa mshahara.

Nimejifunza mengi na nimekutana na wengi wanaopambana na hali ya kuacha ajiri ili wafuate ndoto zao. Kama wewe ni muajiriwa mwenye kiu ya kujiajiri kwa nia ya kufuata ndoto yake, basi utapata majibu humu.
More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold