HATUA 20 ZA KUMPATA MWENZI WA MAISHA
KITABU HIKI NI MAALUMU KWA WAVULANA NA WASICHANA AMABO WANAHITAJI WENZI WA MAISHA
NDUGU MPENDWA MSOMAJI! KUMBUKA KWAMBA MWANADAMU HUISHI NA MWENZI WAKE MAISHA KWA MUDA MREFU ZAIDI KULIKO WAKATI AMBAO ALIISHI NA WAZAZI AU WALEZI WAKE. KAMA UKIIMPATA MWENZI WA MAISHA AMBAYE SI SAHIHI, MAISHA YAKO YALIYOSALIA HAPA DUNIANI YATAKUWA YA TAABU SANA. LAKINI PIA MWENZI SAHIHI WA MAISHA HUFANYIKA MSAIDIZI MZURI AMBAYE MTASAIDIANA KUHAKIKISHA GURUDUMU LA MAISHA LINASONGA MBELE. KITABU HIKI CHA HATUA 20 ZA KUMPATA MWENZI WA MAISHA KITAKUWA MSAADA MKUBWA KATIKA KUKUONGOZA KUMPATA MWENZI SAHIHI WA MAISHA AMBAYE MATAISHI NAYE KWA AMANI NA FURAHA. PAMOJA NA KWAMBA KILA NDOA INAWEZA KUWA NA CHANGAMOTO FULANIFULANI, HATA HIVYO UNAPOKUWA NA MWEZI SAHIHI, MTAWEZA KUZISHINDA CHANGAMOTO HIZO NA MTAVUKA SALAMA NA KWA UMOJA MILIMA NA NA MAJARIBU YA MAISHA!
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza