HATUA
Price:
20,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 21, 2020
Product Views:
2,322
Sample
Kitabu hiki kinafunua baadhi ya mambo muhimu ambayo ww binafsi unapaswa kuyajua na kuyasimamia ili kunoa mwenendo wako na kupiga msasa maendeleo yako ya kiutu.
Moja wapo ya mambo yanayofanya watu wengi qashindwe kufikia wanayoyania ni kushindwa kutambua mambo muhimu ambayo kwayo wayastawi. Karibu katika kisima cha maarifa. Baada wewe kusoma kitabu hiki na kuyatendea kazi yaliyoandikwa humo utakuqa umepiga hatua kubwa.. ambayo upana wake ni kupita upeo wa macho.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza