HATI YA UVUMBUZI PROGRAMU UBUNTUeHOUSE
Baada ya uchunguzi wa zaidi ya miongo miwili katika historia,maandiko na mifumo ya mzunguko wa pesa na masoko katika karne ya 21.Mwaka 2025 ninakamilisha uchunguzi wangu kwa kutambulisha PROGRAMU UBUNTUeHOUSE ,programu pekee karne ya 21 Familia,Taasisi,maKampuni,Viwanda na Serikali za kipato cha chini katika mitaa,vijiji,mikoa,nchi na bara karne ya 21 hatunabudi kutambua(kupokea), kutambulisha(kubali), kuzingatia(thibitisha) na kuambukiza (rithisha) kizazi chetu kila mwaka kuteka sehemu kubwa zaidi ya mzunguko wa pesa katika manunuzi ya dunia kupunguza ugumu wa maisha kwa jamii kubwa iliyoko nje ya mnyororo wa mitaji,maarifa ya juu na masoko inayoongezeka kwa kasi katika nchi za Afrika na duniani kote karne ya 21.rnrn Ni katikarn HATI YA UVUMBUZI PROGRAMU UBUNTUeHOUSE.