HATI YA UUVUMBUZI WA PROGRAMU UBUNTUeHOUSE
Kwa zaidi ya miongo miwili nimefanya uchunguzi katika historia,maandiko na mifumo ya mzunguko wa pesa na masoko duniani karne ya 21 kutegua kitendawili mama cha Familia,Taasisi,maKampuni,Viwanda na Serikali za kipato cha chini Afrika na duniani kote rnrn"Jinsi ya kupata mfumo wa kuteka sehemu kubwa ya mzunguko wa pesa na masoko katika manunuzi ya dunia kupunguza ugumu wa maisha kwa jamii kubwa iliyoko nje ya mnyororo wa mitaji,maarifa ya juu na masoko inayoongezeka kwa kasi katika nchi za Afrika na duniani kote karne ya 21"rnrnMwaka 2025 nikiwa katikati ya kilele cha furaha ninakamilisha uchunguzi wangu kwa mara ya kwanza katika milango fahamu ya dunia(media) ninatambulisha kwa kizazi chetu ,kizazi cha Teknolojia karne ya 21 kutambua,kutambulisha,kuzingatia na kuambukiza Familia,Taasisi,maKampuni,Viwanda na Serikali zetu Afrika na duniani kote rnrnHATI YA UVUMBUZI WA PROGRAMU UBUNTUeHOUSErnprogramu pekee karne ya 21,Familia,Taasisi,maKampuni,Viwanda na Serikali zetu Afrika hatunabudi kutambua,kutambulisha,kuzingatia na kuambukiza kizazi chetu kila mwaka kuteka sehemu kubwa ya mzunguko wa pesa na masoko katika manunuzi ya dunia kupunguza ugumu wa maisha,kuongeza amani na furaha ya maisha kwa jamii kubwa iliyoko nje ya mnyororo wa mitaji,maarifa ya juu na masoko inayooongezeka kwa kasi katika nchi za Afrika na duniani kote.rnrn Ni katika rnHATI YA UVUMBUZI WA PROGRAMU UBUNTUeHOUSE.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza