HATI YA PROGRAMU UBUNTUeHOUSE
Kwa zaidi ya miongo miwili nimefanya uchunguzi katika historia,maadiko na mifumo ya mzuguko wa pesa na masoko kutegua kitedawili mama cha Familia,Taasisi,maKampuni, viwanda na Serikali za kipato cha chini Afrika na duniani kote karne ya 21 rnrn"Jinsi ya kuteka kwa kasi zaidi sehemu kubwa zaidi ya mzunguko wa pesa na masoko duniani,kupunguza ugumu wa maisha ,kuongeza amani na furaha ya maisha kwa jamii kubwa iliyoko nje ya mnyororo wa mitaji,maarifa ya juu na masoko inayoogezeka kwa kasi katika nchi za Afrika na duniani kote karne ya 21"rnrnMwaka 2025 nikiwa katikati ya kilele cha furaha ninakamilisha uchunguzi wangu kwa mara ya kwaza katika milangofahamu ya dunia(media) ninatambulisha PROGRAMU UBUNTUeHOUSE program pekee karne ya 21 Familia,Taasisi,maKampuni,Viwanda na Serikali za kipato cha chini Afrika na duniani kote hatunabudi kutambua,kutambulisha,kuzingatia na kuambukiza kizazi chetu kila mwaka kuteka sehemu kubwa zaidi ya mzunguko wa pesa na masoko katika manunuzi ya dunia, kuongeza kwa wingi ajira,kupunguza ugumu wa maisha,kuogeza amani na furaha ya maisha kwa jamii kubwa zaidi duniani karne ya 21.rnrn Ni katika HATI YA PROGRAMU UBUNTUeHOUSE.rn Boniphace Mutefunya.rn *Bon Ubuntu*
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza