HALMASHAURI WALEI: Uongozi Wa Jumuiya
Namna ya kuongoza Jumuiya
Unaweza kuwa unajiuliza maswali mengi. Nimechaguliwa kuwa kiongozi wa Jumuiya na sina uzoefu wa kuongoza kundi nifanyeje ili nifanikiwe?
Kati ya kitu kigumu ambacho wengi wanakimbia ni kuongoza au kuchukua madaraka ya Uongozi. Lakini kitabu hiki kikupe sasa ujasiri wa kusonga mbele nakuongoza kwa weledi Jumuiya Ndogo ndogo.
Kwa kufuata miongozo iliyoko huku iliyo rahisi kabisa unaweza kuwa kiongozi bora na sio bora kiongozi wa kufikisha Jumuiya yako kwenye malengo stahiki.
Unaweza kuwa hujazaliwa na kipawa hiki lakini kwa kufuata kwa uaminifu dira hii huwezi kupotea na pengine unaweza kuwa kiongozi wa mfano
Karibu ujipatie nakala kwa bei nafuu kabisa
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza