Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Haiba Ya Mtu Na Jinsi Ya Kuhusiana Naye - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

HAIBA YA MTU NA JINSI YA KUHUSIANA NAYE

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 20, 2022
Product Views:
703
In category:
Sample

Kitabu cha HAIBA ya mtu na jinsi ya kuhusiana naye ni moja Kati ya vitabu vyangu ambacho kinapendwa sana.\r\nKatika kitabu hiki nimezungumzia mambo mengi sana. Katika kuzungumzia mambo hayo nimeonyesha jinsi unavyoweza kuwa na mahusiano mazuri kwa kufahamu HAIBA ya mtu ambaye unahusiana naye.

Rafiki yangu unaweza kuanzisha mahusiano na mtu mzuri lakini wakati mkiendelea na mahusiano yenu yakabadilika na kuanza kuwa mahusiano mabaya.

Kwa maana hiyo mahusiano mabaya siyo kuhusiana na mtu mbaya, bali ni mahusiano mazuri yaliyoingia dosari.

Hali hiyo inaweza kuwa ni matokeo ya kushindwa kufahamu HAIBA ya mme, mke au mchumba wako.

Kwa sababu unataka kununua kitabu cha HAIBA YA MTU NA JINSI YA KUHUSIANA NAYE, itakusaidia sana kuepuka mahusiano mabaya.


More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold