HADITHI ZA WATOTO
Price:
1,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 08, 2025
Product Views:
21
Sample
Hadithi fupi za Watoto hasa darasa la kwanza na darasa la pili
Hadithi za Watoto ni Kitabu kilichoandikwa na Rebekah Yohana mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi Mbagala Rangi tatu jijini Dar Es salaam Kitabu hiki ni motisha kwa watoto ili waweze kukuza vipawa na vipaji walivyonavyo mtoto anaposoma kitabu hiki anapaswa kukumbuka kuwa yeye pia anaweza kuandika na hata kama anasoma kwa shida akijitahidi anaweza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza