HADITHI ZA BIBLIA KWA WATOTO
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 03, 2020
Product Views:
6,427
Sample
Kitabu hiki kitakusaidia kusoma na kuelewa hadithi mbalimbali za kibiblia. Hadithi hizi zimetoka katika kitabu ambacho ni kitakatifu na zimewekwa katika lugha rahisi ili uweze kuzielewa kwa wepesi. Unaposoma kitabu hiki kumbuka kuwa; hizi ni hadithi za kweli na watu hao waliotajwa waliishi miaka mingi iliyopita! Soma hadithi hizi tena na tena mpaka pale utakapozielewa vizuri! Unaweza pia kuzisoma hadithi hizi kutoka katika kitabu kitakatifu cha biblia. Kitabu hiki kina picha nzuri zitakazokufanya upate taswira bora juu ya hadithi husika. Kuwa karibu na mzazi ama mlezi wako ili akusaidie pale utakapokuwa na swali! Furahia usomaji wa kitabu hiki!