HADITHI ZA ALPHABETI
Kitabu hiki kina walenga watoto wa shule za msingi waliosoma katika madarasa i,ii,iii na iv.rn Madhumuni yake ni walengwa kufahamu herufi mbalimbali zinazotumika katika lugha ya Kiswahili,kuongeza misamiati ya maneno ,kukuza stadi za kusoma ,kuandika, kuzungumza , kutafsiri picha zilizomo kitabuni na kuburudika na hadithi fupifupi zilizomo.
Kitabu hikirnkina walenga watoto wa shule za msingi waliosoma katika madarasa i,ii,iii narniv.
rnrn
Madhumunirnyake ni walengwa kufahamu herufi mbalimbali zinazotumika katika lugha yarnKiswahili,kuongeza misamiati ya maneno ,kukuza stadi za kusoma ,kuandika,rnkuzungumza , kutafsiri picha zilizomo kitabuni na kuburudika na hadithirnfupifupi zilizomo.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza