Hadithi Ya Peter Rabbit
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 15, 2023
Product Views:
1,101
Sample
Kitabu cha hadithi kwa watoto kinachosimulia kisa cha Peter mwanasungura mtundu aliyeingia kwenye bustani ya bwana McGregor.
Peter Rabbit aliachwa nyumbani pamoja na wenzake watatu, mama yao alikwenda sokoni. Kabla ya kuondoka mama yao aliwavalisha vizuri na kuwapa maagizo maalum kwamba wasithubutu kwenda kwenye bustani ya bwana McGregor kwani kule ndiko baba yao alikouawa.
Peter alikiuka maagizo, aliwaacha wenzake akaenda kwenye bustani ya bwana McGregor...