GUNDUA KIPAJI CHAKO
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 15, 2021
Product Views:
3,154
Sample
NDANI YA KILA MTU KUNA UWEZO WA ASILI ALIOZALIWA NAO ULIOFICHIKA UNAO ITWA KIPAJI. UNAPOGUNDUA KIPAJI CHAKO, UNAGUNDUA PIA KUSUDI LAKO, NA UNARAHISISHA NA MAISHA YAKO NA KUJIPATIA UTOSHELEVU. KATIKA ENEO AMBALO NI KIPAJI CHAKO UNATUMIA NGUVU NDOGO LAKINI UFANISI NI MKUBWA SANA.
KITABU HIKI KIMEGUSA NA KUSAIDIA MAISHA YA WENGI. UKIKOSOMA UTAWEZA KUGUNDUA VIPAJI MBALIMBALI AMBAVYO VIMELALA KIMYA NDANI YAKO , UTAJIFUNZA MBINU ZA KUKUSAIDIA KUGUNDUA VIPAJI VYAKO.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza