GHARAMA YA MAFANIKIO
Kitabu hiki kina sura (chapters) kuu tatu. Sura ya kwanza inaanza kuelezea gharama za mafanikio unazotakiwa kuwa tayari kulipia kama kweli unataka mafanikio.rnrnSura ya pili inaelezea mambo manne ya kuzingatia kama unataka kufanikiwa. Nayo yanaenda sambamba na utayari wa kulipia gharama ya mafanikio.rnrnSura ya tatu inaelezea kuhusu namna bora ya kujenga connection na kutumia network katika mafanikio yako. “Dunia ya sasa bila connection hutoboi” sasa basi hii chapter ndiyo inaongelea kuhusu CONNECTION na mafanikio.rnrnMwishoni kabisa mwa kitabu nimeandika mambo matano (5) ambayo pale unapojielezea (presentation) inabidi usiyasahau pia.rnrnSijui ni sababu ipi yaw ewe kukikosa kitabu hiki lakini. Kama mimi ningekuwa wewe basi ningechangamkia sana kukipata kitabu hiki na niweze kukisoma. Kinipatie maarifa ambayo wengi sana… wanayakosa.
Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini yeyote utakayemuona amefanikiwa ujue kuna gharama alikubali kuilipia.
Mafanikio ni gharama.
Ndiyo maana sio kila mtu amefanikiwa kwa sababu sio kila mtu anazifahamu hizi gharama. Cha kushangaza zaidi wapo wanaozifahamu lakini hawapo tayari kuilipia gharama ya mafanikio,
Sasa humu tutazifahamu lakini kikubwa tunaenda kuwa tayari kuilipia, ili tufanikiwe.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza