FUNGUO KUU 5 ZA KUSTAWI KIBIASHARA
Https://bit.ly/3gOrNA6 Hello, Mwaka 2014 nilianza rasmi safari ya kibiashara na ujasiriamali lakini sikuweza kupata mpenyo mkubwa kwenye biashara zangu zaidi ya kupata pesa ya chakula na matumizi mengine madogo madogo. Mwaka 2016 niliamua kujifunza namna mbalimbali ambazo wafanyabiashara wengine zimewasaidia na wakaweza kupata mafanikio makubwa. Ndipo nikakutana na funguo hizi tano za kustawi kibiashara na zikaniwezesha kutoka kwenye mauzo ya $50 kwa siku hadi $1,000 kwa siku na kila siku pesa huja kwangu kwa kuongezeka na kupitia vyanzo mbalimbali vya mapato. Nimeona sasa ni wakati sahihi wa kuwapa wengine njia za mafanikio baada ya mimi kuzijaribu na kuona zinafaa! Karibu!
Karibu kwenye mafunzo maalumu ya kibiashara ambayo nilifundisha kwenye kikundi cha HOUSE OF WISDOM nina uhakika mambo haya matano yataifanya biashara yako kutoka kuwa kiosk mpaka super market kubwa mjini! Sikiliza kwa umakini na utafakari huku ikiwa na kalamu na karatasi, enjoy!
https://bit.ly/3gOrNA6
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza