
FUNGUA UFAHAMU
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 16, 2025
Product Views:
141
Sample
Mimi ni nani?, Nimetoka wapi?, kwanini nipo hapa duniani?, Naweza kufanya nini?, Ninaenda wapi?
Watu katika ulimwengu huu wengi hawajatambua wao ni akina nani, yaan wamebeba kitu gani cha kipekee ndani yao, hapa nazungumza kwa maana ya kipawa/kipaji walichobeba na jinsi kinavyoweza kuleta matokeo kwanza kwao wenyewe na jamii.
Ulimwengu upo katika migogoro kwa sababu tu wanadamu wamesahau kusudi lao na sababu ya kuishi, hivyo mambo yote yanayokiuka haki za binadamu tutaweza kutokomeza siku tu tukijua kujitambulisha na kujua kusudi letu.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza