
FUNGU LILILOWASHINDA WENGI
Fungu Lililowashinda Wengi ni Kitabu kilichojengwa kuwasilisha mambo ya muhimu katika jamii na suluhisho la matatizo yanayowakabili wanajamii. Ni hadithi iliyosheheni wahusika bunifu wenye kuwasilisha mada kuu zenye kumjengea msomaji uelewa mkubwa katika kukabiliana na majanga ya kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Shujaa Nyika na Nziba, marafiki waliofikia kilele cha undugu, wanakabidhi mamlaka yao kwa Shujaa Aninzata, licha ya mafanikio lukuki katika tawala hiyo, ukosefu wa Ajira linakuwa jambo lenye kuumiza vichwa wanajamii wa Shujaa Aninzata, wenye Hekima wanamkabidhi Shujaa Aninzata nyenzo Muhimu ya kukabili changamoto hiyo, wenye hekima wanatoa zingatio kuwa nyenzo hizo ni Fungu Lililowashinda Wengi. Je? Shujaa atafanikiwa licha ya zingatio la wanahekima? Usikose kupata nakala ya kitabu hiki hapahapa Get Value.
Asante
Mwandishi
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza