FUNGA MWAKA CHALLENGE
Hii ni challenge maalum kwa ajili ya kufunga mwaka kwa kishindo. Hii itasaidia ku reset afya yako ili uweze kua imara zaidi katika kupungua uzito, kuimarisha urijali wako (kwa wanaume), kurekebisha homoni zako na kua na mzunguko mzuri (kwa wanawake), kuondokana na magonjwa mengi yanayokunyemelea na faida nyingine nyingi za ki afya utakazoziata. Usipange kukosa challenge hii.