FANIKISHA NDOTO YAKO
Price:
3,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 22, 2020
Product Views:
4,421
Sample
Kitabu kinachokupa Mwangaza wa namna ya kuweka ndoto na kuifanikisha.
Ni ukweli usiopingika ni rahisi kufanikisha jambo unalolijua kuliko lile usilolijua.
Hata katika maisha kufanikisha lile unalolijua haiwi ngumu kama lile usilolijua.
Kitabu hiki kitakupa mwanga mpya katika maisha yako na kukufanya uchukue hatua kuifikia kesho yako.
Kupitia kitabu hiki utaweza kuzibaini changamoto zinazoweza kukukwamisha kupiga hatua katika maisha.
Kufahamu zaidi bonyeza preview file.